@abdillahshaib717

Oyaaaa kaka mambo vp nakubali sana kazi zako Leo umenifunuwa kichwa Cha Asante nitumie nambari ya ya Whatsapp

@absm8084

Hapa Bukoba watu wanalia kalynda imekuwa Kama crowd 1

@palatz

Ok NAKUBALI 💯

@rojakichwa202

Kinachoendelea tumepigwa tena vibaya tumeangukia pua

@rahmamohd7186

Jamani tunaomba mturejeshee pesa zetu tuoneeni huruma na muogopeni Mungu

@fredygerald3549

Najiuli kuhusu kalynda sipati jibu yaani Wanavibari vyote vya Serikali leseni ,Brela, nk...
Serikali kweli inaleta company la kitapeli kweli SERIKALI MTU HURUMIE

@samsongalusi4222

🤗🤗🤗

@omarsultan4502

Watu wamepigwa hao ni matapeli watu waliambiwa mwnzo hao jamaa ni wezi hakuna hio biashara ya namna hio hawakuamni

@oznyderboy8728

Tumepigwa

@toryazimio3429

Tushapigwa Bro hakuna pingamizi tena

@meryleonard1580

Yani tusha pigwa kisawasawa tukome watamzania tusitafute hela kirahisi hivyo

@galaxywilliam3918

kaka je nikweli jamaaa wapo kweli niambie tutegee nn