Washatumaliza Hawa wasenge
Yaani hata namba zao hawajibu sasa ndo marekebisho gani hayo, mbona wagekua wanajulisha watu kinachoendelea
Me naamini washatapeli
Tushapigwa baba apo hakuna jipya maana kuna namba tulikuwa tunachart nao saiv ukipiga hiyo namba anapokea demu na anajifanya haelewi chochote.
Kwendeni ukoo
We nae unazingua ndo maana ulimpa mic mbwa et anaongea
@ericpesha9358