Loading...
「ツール」は右上に移動しました。
利用したサーバー: natural-voltaic-titanium
69いいね 6173回再生

Juma Boy - Why (Official audio) Miondoko riddim

#JumaBoy #why (official audio) #Miondokoriddim

This song explains the story of a young man who is in love with a girl and wants to marry her, but she is not loyal.

tiktok.com/@jumaboy_jb

www.facebook.com/Jumaboy111

www.instagram.com/jumaboy_j.b

mobile.twitter.com/JUMABOY_ke


Baby girl keti kitako nikueleze yaliyo moyoni
Kuna issue bigi kubwa sana hapa kama notorious
Mimi nakupenda sana lakini nikama wewe wanicheza
Unashika simu zako zote ukiwa umejificha

Juzi juzi tu umeletwa nyumbabi na magari kubwa
Nikiuliza unasema eti huyo ni binamu tu Eeeeeeh

Baby why why why baby why why why
Baby why why why baby why why why

Acha me nikuambie
Maisha bila nidhamu ni jangaee
Atakama wapendeza vipiee
Mwisho wake janga janga janga
Acha me nikuambie
Maisha bila nidhamu ni jangaee
Atakama wapendeza vipiee
Mwisho wake janga janga janga

Baby why why why baby why why why
Baby why why why baby why why why

Bibi na babu familia yote
Wanatarajia niende nitoe posa
Lakini wewe mienendo yako
Niakiajabu yakikware kware
Japo kidogo moyo umeganda
Umeninasa siwezi kukuwacha

Bibi na babu familia yote
Wanatarajia niende nitoe posa
Lakini wewe mienendo yako
Niakiajabu yakikware kware
Japo kidogo moyo umeganda
Umeninasa siwezi kukuwacha

Baby why why why baby why why why
Baby why why why baby why why why

Acha me nikuambie
Maisha bila nidhamu ni jangaee
Atakama wapendeza vipiee
Mwisho wake janga janga janga

Baby why why why baby why why why
Baby why why why baby why why why
Baby why why why baby why why why
Baby why why why baby why why why

Acha me nikuambie
Maisha bila nidhamu ni jangaee
Atakama wapendeza vipiee
Mwisho wake janga janga janga

Acha me nikuambie
Maisha bila nidhamu ni jangaee
Atakama wapendeza vipiee
Mwisho wake janga janga janga

Written by jumaboy

コメント